Category: MCHANGANYIKO
Pinda awafunda watendaji sekta ya ardhi Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amewafunda watendaji wa sekta ya ardhi katika jiji la Mwanza kwa kuwataka kusimamia sekta hiyo kwa kuzingatia kanuni, taratibu na miongozi ya sekta hiyo. Amesema,…
Mbaroni kwa kuhujumu miundombinu ya reli SGR Morogoro, Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngerengere WATU watatu wamekamatwa na vipande 396 vya nondo za ukubwa wa milimita 16 zilizokuwa awali zimejengea uzio kuzuia kukatiza wanyama waharibifu akiwemo tembo katika Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge (SGR)…
Wamiliki wa vyombo vya usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea…
Mawaziri wa Nishati Tanzania, Zambia wajadili ujenzi wa bomba jipya la mafuta
📌Ni la Mafuta Safi kutoka Dar es Salaam hadi Ndola Zambia 📌Dkt. Biteko asema pia litanufaisha mikoa ya kusini 📌Zambia yasema ipo tayari kutekeleza mradi huo 📌Timu ya Wataalam yaanza majadiliano Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na…
Hatimaye Nchimbi apata timu Rwanda
Na Isri Mohamed Mshambuliaji wa Fountain Gate FC, Ditram Adrian Nchimbi ‘Duma’, amepata dili la kusajiliwa na klabu ya Etincelles inayoshiriki ligi kuu ya Rwanda. Nchimbi yupo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wake kujiunga na klabu hiyo. Nchimbi…