Category: MCHANGANYIKO
Mwadhamana Polycarp Kardinali Pengo 1994- 2026
Kardinali Polycarp Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar-es-Salaam (Tanzania), alizaliwa tarehe 5 Agosti 1944 katika parokia ya Mwazye, Jimbo Katoliki Sumbawanga, Tanzania. Kuanzia mwaka 1959 hadi 1964 alipata elimu yake ya sekondari katika seminari ndogo ya Kaengesa….
TIRDO yapongezwa, yaagizwa kujitangaza zaidi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum, amelipongeza Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) kwa kazi kubwa linayofanya katika kukuza ubunifu na sekta ya viwanda nchini,…
Saba wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za dawa za kulevya Same
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Same Washtakiwa saba wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same jana Februari 19, 2026, wakikabiliwa na mashtaka ya kujihusisha na dawa za kulevya aina ya mirungi, huku mmoja wao akiamriwa kuwa chini ya uangalizi wa Jeshi…
Australia yatoa bil. 15/- kunufaisha kampuni na mashirika ya uzalishaji yanayochipukia Tanzania
Mkurugenzi wa Mikakati na Maendeleo wa Shirika la REEEP, lenye makao makuu Vienna, Austria, Bw. James Smith amesema Shirika lake limepokea msaada wa Euro milioni 5 sawa na Shilingi bilioni 15 kuzisadia kampuni za Kitanzania kuongeza uzalishaji wa bidhaa za…
Polisi yawashikilia wanne kwa tuhuma za mauaji ya waendesha bodaboda Tabora
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora JESHI la Polisi Mkoani Tabora linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za ujambazi na mauaji ya waendesha bodaboda yaliyokuwa yakiripotiwa mara kwa mara katika maeneo mbalimbali mkoani hapa. Hayo yamebainishwa jana na Mkuu wa Mkoa Paul…





