JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TCAA yatoa elimu ya matumizi salama ya drones katika kilimo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi salama na sahihi ya ndege nyuki (drones) katika shughuli za kilimo, ikiwa ni sehemu ya ushiriki wake katika Maonesho ya Wakulima…

Hawa ndio wagombea ubunge waliopeta majimbo tisa CCM Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Katika zoezi la kupiga kura za maoni kwa ajili ya kuwapata wagombea wa ubunge wa majimbo tisa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, ameongoza kwa kupata…

Mvutano wa kisiasa waibuka Dodoma, wanachama CCM waandamana kupinga uteuzi wa diwani mteule

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mbabala, jijini Dodoma, baada ya baadhi ya makada wa chama hicho kuandamana hadi ofisi za CCM Wilaya wakieleza kutokuwa na imani na diwani…

Jafo aibuka kidedea kwa kupata kura 4,412

MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe  aliyemaliza muda wake,Dkt.Selemani Jafo, ameibuka kidedea katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kupatakura 4,412 sawa na asilimia 76. Waliokuwa wakichuana na Jafo katika kinyang’anyiro hicho ni Mpendu 835 sawa na asilimia…

Wananchi wakaribishwa Nanenane kufahamu kwa kina mpango mahsusi wa nidhati 2025 – 2030

📌 Ni uliosainiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Misheni 300 Wizara ya Nishati imekaribisha wananchi kuendelea kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima- NANENANE jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo…