JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Muliro akabidhi askari wa kike bendera kwa niaba ya IGP kwenda Scotland

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro amewakabidhi bendera ya Taifa askari wa kike kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura wanaokwenda katika mafunzo ya…

RC Kunenge- Mageuzi ya biashara na uwekezaji yachangia kupaa kwa Manispaa ya Mji Kibaha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefanya kazi kubwa katika kuchochea sekta ya uwekezaji na biashara, huku akitoa wito kwa wawekezaji wa…

Mwiba Holdings Ltd yasaidia watoto 53 kufanyiwa upasuaji Meatu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Meatu Watoto 53 kutoka vijiji 16 vinavyozunguka Pori la Akiba la Maswa wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa miguu vifundo , matege na midomo sungura kupitia msaada wa Mwiba Holdings Ltd. Kampuni ya Mwiba ambayo ni kampuni tanzu…

Dk Biteko amwakilisha Rais Samia mazishi ya hayati Askofu Shao

📌 Awataka Watanzania kuacha alama katika utumishi wao 📌 Asema Serikali iko pamoja na wafiwa katika kipindi hiki cha majonzi 📌 Askofu Malasusa ataka waumini kumshuhudia Kristo kwa vitendo Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…

TAKUKURU Tandahimba yaokoa 500,000 zilizochangwa na wazazi

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Wilaya ya Tandahimba imekabidhi fedha TSh. 500,000/= kwa Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Salama, Mwalimu Mustafa Shaibu Rashidi, iliyookolewa na TAKUKURU baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa Kijiji…