Category: MCHANGANYIKO
Wizara ya Nishati yatumia madhimisho Siku ya ya Chakula Duniani kutoa elimu ya nishati safi ya kupikia
๐ Wananchi wamiminika kupata elimu ya Nishati Safi ya Kupikia kwa njia ya vitendo ๐ RC Tanga afungua Maadhimisho; atoa pongezi kwa Wizara ya Nishati ๐ Ruzuku ya Serikali yawezesha majiko ya gesi ya kilo sita kuuzwa kwa sh. 17,500…
Kamati ya vibali vya ujenzi yaibua mapungufu katika ukaguzi wa kustukiza
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya Vibali vya Ujenzi ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa kufanya ukaguzi wa kustukiza katika maeneo mbalimbali ya Kata ya Gerezani, Kariakoo, ambapo…
Utafiti miamba bonde la Eyasi Wembere wathibitisha uwezekano wa upatikanaji mafuta
๐ Dkt Mataragio akagua shughuli za utafiti na kutoa maelekezo kwa TPDC/AGS ๐ Awamu ya pili ya utafiti kukamilika Aprili 2026. ๐Asilimia 90 ya wanaotekeleza mradi ni watanzania Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta…
Watu milioni 18 wanufaika kiuchumi na trilion 2.44/- zilizotengwa na Serikali
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Serikali imekuwa ikifanya jitihada za kuwainu qananchi kiuchumi ambapo kwa Mlmwaka wa fedha 2024/2025 ilitenga Tilion 2.44 kwa ajili Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi kiuchumi ambapo zaidi ya watu milioni 18 wamenufaika ambapo wanaume asilimia 51…
Majaliwa :Wapeni vijana mikopo yenye riba nafuu
Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya โWaziri Mkuu Kassimu Majaliwa amezitaka taasisi za fedha kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa vijana ili wawe na Uwezo wa Kuirejesha. Majaliwa amesema hayo leo tarehe 10/10/2025 mkoani hapa wakati akizindua maadhimisho ya wiki la…
TTCL yaahidi kuendeleza kutoa huduma bora zaidi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limesema kuwa litaendelea kuboresha huduma zake kwa kutumia teknolojia za kisasa ili kuhakikisha Watanzania wanapata huduma bora, za kuaminika na zenye ubora wa hali ya juu. Akizungumza katika…





