Category: MCHANGANYIKO
Kwaya ya watoto Westminster yatoa msaada Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ess Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), imepokea msaada wa mashine tatu za kisasa za uchunguzi na tiba kwa wagonjwa wenye changamoto mbalimbali za macho kutoka Shule ya Kwaya ya Watoto Westminster ya nchini Uingereza…
Askari walioonekana wakichukua rushwa barabarani wakamatwa Dar
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata askari wawili wa usalama barabarani walioonekana kwenye video iliyosambaa mitandaoni wakifanya vitendo visivyo na maadili vya kuchafua taswira ya Jeshi la Polisi. Akizungumza…
Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili Husna Gulam (3) na Mahdi Mohamed (4) walioibiwa na dada wa kazi kwa kushirikiana na mganga wa kienyeji nyumbani kwao…
Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti
KIZZA Besigye, mwanasiasa mkongwe wa upinzani na hasimu wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni, alitekwa nyara akiwa jijini Nairobi Novemba 2024 na kurejeshwa Uganda alikofunguliwa mashtaka katika mahakama ya kijeshi. Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, atafikishwa…
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aliyefutwa kazi akamatwa
RAIS wa Korea Kusini aliyeachishwa kazi Yoon Suk Yeol amekamatwa, kulingana na mamlaka, na kuweka kihistoria nchini humo. Yoon ambaye anachunguzwa kwa uasi ndiye rais wa kwanza aliye madarakani nchini humo kukamatwa. Baadhi ya wachunguzi waliingia katika makazi ya Yoon…





