Category: Siasa
Mawaziri wagongana
*Dili ya uwekezaji yawafanya washitakiane kwa Waziri Mkuu
*Wajipanga kumkabili Kagasheki, naibu achekea kwenye shavu
Mawaziri wawili na wabunge kadhaa wameungana dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, kukoleza mgogoro ulioibuka Loliondo.
FCC yateketeza vipuri bandia
Tume ya Ushindani na Haki (FCC) nchini imeteketeza vipuri bandia vya magari, na kuwaonya wafanyabiashara kujiepusha kununua na kuuza bidhaa zilizoghushiwa.
Bagamoyo wamegewa neema nyingine
*Vijiji 20 kugawiwa fedha, chakula, elimu
Wakati bado mjadala wa upendeleo wa wilaya yake ukiendelea kumwandamana Rais Jakaya Kikwete, mradi mwingine wa mabilioni ya shilingi umepelekwa katika vijiji 20 vya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Bila kudhibiti NGOs Loliondo haitatulia
Kwa mara nyingine, Loliondo imetawala kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Sina desturi ya kuitetea Serikali, lakini hiyo haina maana kwamba inapoamua kufanya jambo la manufaa kwa vizazi vya sasa na vijavyo, nishindwe kuitetea.
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
- Wizara yapokea kwa masikito taarifa ya ajali ya moto iliyoua watoto watano
- Wabunge 27 ambao hawakuteuliwa kugombea kura za maoni
- Kanati Kuu ya CCM yaridhia Peter Mashili kuvaaba na Bashe Jimbo la Nzega Mjini
- CCM yatangaza wagombea wake, baadhi ya vigogo waenguliwa, wasanii, wanahabari wapeta
- Orodha ya wanachama CCM walioteuliwa kugombea nafasi za Ujumbe Baraza la Wawakilishi
Habari mpya
- Wizara yapokea kwa masikito taarifa ya ajali ya moto iliyoua watoto watano
- Wabunge 27 ambao hawakuteuliwa kugombea kura za maoni
- Kanati Kuu ya CCM yaridhia Peter Mashili kuvaaba na Bashe Jimbo la Nzega Mjini
- CCM yatangaza wagombea wake, baadhi ya vigogo waenguliwa, wasanii, wanahabari wapeta
- Orodha ya wanachama CCM walioteuliwa kugombea nafasi za Ujumbe Baraza la Wawakilishi
- Wengine hawa hapa wanaowania ubunge na Baraza la Wawakilishi
- Hawa ndio watakaoshiriki kura za maoni za Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wakilishi
- Maadhimisho Siku ya Homa ya Ini Duniani, Waziri Mhagama awataka wananchi kuutokomeza
- TCCIA yawekeza katika mifumo ya kidijitali utoaji huduma ikiwemo cheti cha uasilia wa bidhaa
- Wapigakura mchague maendeleo, si rushwa
- TANESCO kulipa milioni 1/- kwa watakaofichua wanaohujunu miundombinu – Msaki
- TPA yasaini makubaliano na wadau uendeshaji bandari Kavu Kwala
- Majina ya wagombea CCM yabaki kitendawili, mkutano wasogezwa tena
- Soma Gazeti la Jamhuri Julai 29 – Agosti 4, 2025
- Ofisi ya Msajili wa Hazina yalenga kukusanya Sh2 trilioni
Copyright 2024