Category: Siasa
Mkurugenzi: Ilala jitokezeni sensa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala, Gabriel Fuime, amewataka wakazi wa Ilala kujitokeza kwa wingi kushiriki sensa ya watu na makazi inayofanyika kuanzia Jumapili wiki hii. Fuime aliiambia JAMHURI mwishoni mwa wiki kuwa kuna umuhimu mkubwa wa wakazi wa Ilala kujitokeza kwenye sense, kwani bila kufanya hivyo mgawo wa fedha kutoka serikalini utapungua.
Ripoti ya majangili yatoka
*Wamo Polisi, Kada CCM, wafanyabiashara
*Vigogo Polisi Kigoma, Mugumu wahusishwa
Idara ya Ulinzi, Kitengo cha Intelejensia cha Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), imetoa ripoti ya ujangili iliyo na majina ya wahusika wakuu na namna wanavyolindwa na vyombo vya dola nchini. JAMHURI imepata ripoti hiyo ya kurasa 30 iliyosainiwa na Mhifadhi wa Intelejensia, Renatus Kusamba.
Balozi za Tanzania aibu tupu
*Baadhi hawajalipwa mishahara miezi sita, zimeajiri Wakenya
*Ufaransa pango Sh milioni 720, wanatumia anwani ya Uganda
*Ofisi zinaporomoka, Kikwete asema Richmond imeiponza nchi
*Membe alia Serikali kukata bajeti yake ikabaki asilimia 44 tu
Sura na heshima ya Tanzania nje ya nchi inashuka kwa kasi kubwa, kutokana na Serikali kuzitelekeza balozi zake nje ya nchi.
Yapo mambo mengi ya aibu yanayowakumba mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi, kwani baadhi ya balozi zinashindwa kulipia huduma ya simu, maji, umeme na baadhi ya magari yanazimika na kuwashwa kwa kusukumwa kama ya uswahilini. Taarifa ya ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama iliyotembelea balozi mbalimbali imeibua uozo wa ajabu.
Majaji maji shingoni
*Maelezo ya Jaji Ramadhani, Luanda moto
*Ripoti ya Ikulu nayo yataka waondolewe
*Lissu ataka wapime, kumshitaki Kikwete
*Amtaka Jaji Kiongozi Fakih Jundu ajiuzulu
Mhimili wa Mahakama umetikisika baada ya kuwapo ushahidi wa wazi kwamba Rais Jakaya Kikwete amevunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwa kuwaongezea mikataba ya kazi baadhi ya majaji na kumpandisha cheo mwingine.
RIPOTI MAALUMU
Majaji ‘vihiyo’ watajwa
*Yumo aliyeshindwa kuandika hukumu miaka minne
*Wengine wagonjwa, hawajawahi kusikiliza kesi
*Yumo Jaji wa Mahakama ya Rufaa asiye na shahada
*Baada ya kubanwa sasa anasoma Chuo Kikuu Huria
*Wengine walikuwa mahakimu watuhumiwa wa rushwa
Wabunge waunga mkono msimamo wa Morocco
Bunge la Tanzania linaunga mkono msimamo wa Morocco katika kupata ufumbuzi wa mgogoro kati ya taifa hilo na taifa la Sahara Magharibi. Mwaka 1975 uliibuka mgogoro wa ndani kati ya Morocco na taifa la Sahara Magharibi linalotaka kujitangazia Uhuru. Mgogoro huu uliofanya Sahara Magharibi kujenga ukuta kama wa Berlin kule Ujerumani, umekuwa na madhara makubwa ndani ya taifa la Morocco.
Habari mpya
- Dk Samia akiomba kura kwa wananchi Rungwe
- Mganga atuhumiwa kumuua mteja na kumfukia kwenye tanuri la mkaa Mlandizi
- Polisi anayedaiwa kubaka mwanafunzi afukuzwa kazi
- Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara Mbeya
- Angalia Dk Samia akicheza mziki na wanachama Mbeya
- Muliro akabidhi askari wa kike bendera kwa niaba ya IGP kwenda Scotland
- RC Kunenge- Mageuzi ya biashara na uwekezaji yachangia kupaa kwa Manispaa ya Mji Kibaha
- Mwiba Holdings Ltd yasaidia watoto 53 kufanyiwa upasuaji Meatu
- Dk Biteko amwakilisha Rais Samia mazishi ya hayati Askofu Shao
- TAKUKURU Tandahimba yaokoa 500,000 zilizochangwa na wazazi
- Ramadhan Makala akamatwa kwa tuhuma za kusafirisha bangi gunia 13
- Taasisi ya Revive kutoa matibabu ya Physiotherapy bure Septemba 6 na 7 Bure
- EACOP, BBN wafadhili Mafunzo ya Ufundi stadi kwa wakazi 12 wa Chongoleani
- Msajili wa Hazina afanya mazungumzo na TRC, LATRA
- Putin: Niko tayari kukutana na Zelensky mjini Moscow