JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

CHAUMMA: Tunawaomba wadau,wanachama kukichangia chama ili kufanikisha mikutano yake

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimewaomba wadau na wanachama wa chama hicho kukichangia chama ili kufanikisha mikutano yake ya hadhara ambayo inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu wa 2023. Tamko hilo limetolewa leo Machi 11, 2023 jijini…

Chongolo amaliza ziara yake Simanjiro kwa stahili hii

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amemaliza ziara yake Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ambapo pamoja na kukagua uhai wa chama sanjali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020-2025. Katibu Mkuu kwa…

Majaliwa : Tutaendelea kuwatumikia Watanzania

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-CCM na wananchi kwa ujumla waendelee kuiamini Serikali yao kwa sababu watendaji wake wamejipanga kuwatumikia kwa weledi, uadilifu na uaminifu wa hali ya juu….

Chongolo ayataka mabaraza ya madiwani kuacha kulumbana

Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameyataka mabaraza ya madiwani nchini kufanya kazi za kujadili maslahi ya wananchi na sio kulumbana kwa maslahi yao binafsi. Chongolo amesema hayo jana wakati akizungumza na wanachama wa CCM katika Kijiji…