Category: Siasa
ACT Wazalendo kuzindua kampeni Agosti 30
Chama cha ACT Wazalendo kinatarajia kizindua kampeni zake za mgombea Urais Jijini Mwanza Agosti 30 katika Viwanja vya Furahisha
Geofrey Timothy achukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Geofrey Timothy, amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo na kuahidi kuwatumikia wananchi wa Kawe kwa ari na moyo wa kujituma. Akizungumza leo…
Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu Wastaafu, nguzo ya busara na uadilifu ndani ya CCM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Miongoni mwa mambo yaliyoipa CCM uhai, uimara na uimarikaji katika safari yake ndefu ya kisiasa, ni hekima ya kuwatumia viongozi wakuu wastaafu kama washauri. Utaratibu huu si jambo jipya, bali ni urithi ulioanzishwa…
Bariadi yasimama Kadogosa akichukua fomu za ubunge
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Shughuli katika miji midogo kadhaa iliyopo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi zilisimama kwa muda wakati mteule wa kugpmbea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Bariadi Vijijini, Masanja Kadogosa, alipochukua fomu. Masanja…
Biteko achukua fomu kugombea Bukombe, ahimiza kampeni za kistaarabu
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukombe, Zedekiah Solomon Osan amemkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Doto Mashaka…