Category: Siasa
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu Aly Hassan Mwinyi alivyomtembelea Tundu Lissu Hospitalini Nchini Kenya
Rais mstaafu Aly Hassan Mwinyi amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini Kenya. Rais Mwinyi akiambatana na mkewe na maofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, wamemtembelea Lissu hospitalini hapo alipolazwa tangu Septemba 7 …
Mbunge wa Chadema Azungumzia Hali ya Kisiasa kwa Upande Wake
Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Said Kubenea amewataka wananchi wa jimbo lake na nchi nzima kwa ujumla kupuuzia taarifa zinazosambazwa dhidi yake kuhusu yeye kutaka kukihama chama chake. Kebenea amesema kuwa…
Chadema Kukutana, Kuzungumza Yanayoendelea Nchini
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura, kwa mujibu wa Katiba ya Chama, siku ya Jumatano, Desemba 6, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho cha siku moja, pamoja na masuala…
Mnyika Anena Kuhusu Barua Inayosambaa Mitandaoni
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (CHADEMA) amekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amejiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara ndani ya CHADEMA Kupitia mitandao ya kijamii imesambazwa barua inayodaiwa ni ya Mnyika ambayo imedai amejiuzulu nafasi yake ili…
CCM Wapiga Kura Kuchagua Viongozi Wapya Iringa
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa wamepiga kura kuchagua uongozi mpya leo Desemba 5, 2017. Mjumbe wa NEC Mh. January Makamba akizungumza na kutoa utaratibu wa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chama…
Wabunge wa Chadema Warudishwa Tena Rumande
Morogoro. Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro pamoja na washtakiwa wengine 36 wamerejeshwa rumande. Mahakama iliyokuwa itoe uamuzi wa dhamana leo Jumanne Desemba 5,2017 imekwama kufanya hivyo kutokana na kuibuka hoja za kisheria….