Category: Kitaifa
Shamte, Jussa jicho kwa jicho
ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Mwanasiasa mkongwe, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT- Wazalendo, Ismail Jussa Ladhu, kuacha kauli za upotoshaji. Moja kati ya kauli anazodai zimetamkwa na Jussa ni madai kwamba CCM haina dhamira njema katika Serikali ya Umoja…
RITA kuondolea adha uhakiki wa vyeti
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umewataka wanafunzi wanaohakiki vyeti vya kuzaliwa kwa ajili ya mikopo kuzingatia maelekezo ili iwe rahisi kupata huduma. Ofisa Habari wa RITA, Grace Kyasi, amelieleza JAMHURI kuwa kuna…
DC: Wastaafu msioe watoto, mtakufa
ARUSHA Na Bryceson Mathias Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Sophia Mjema, amewaasa wastaafu kutotumia mafao watakayopata kuoa watoto wadogo au kuolewa na vijana, akisema watawasababishia kufa kwa kihoro. Sophia ameyasema hayo wakati akifungua semina ya elimu kwa wastaafu watarajiwa zaidi…
Dk. Mpango alikoroga
*Atoa maagizo nje ya mipaka ya Makamu wa Rais kikatiba *Wataalamu wasema kisheria hapaswi kusimamisha kazi watendaji *Warejea tamko la trilioni 2, wataka amheshimu Rais Samia *Wamtahadharisha asitoe matamko ya kiserikali akiwa kanisani Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Makamu…
UNYANYASAJI WA URAIA… Kwa hiari ninaikabidhi Serikali silaha yangu
NGARA NA MUSHENGEZI NYAMBELE Kwenye Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua mgombea urais mwaka 1995, Mwalimu Julius Nyerere alisimulia kilichomtokea New York, Marekani mwaka 1994. Alikaribishwa na Getrude Mongela (wakati huo Katibu wa Mkutano wa kina mama wa…
Mnyeti kama Sabaya
*Alalamikiwa Tume ya Haki za Binadamu *Adaiwa kujiundia tume kinyume cha sheria *Mwenyewe ajitetea kwa kumwaga matusi DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, analalamikiwa na mfanyabiashara, Dk. Hamis Kibola, katika Tume ya…