Category: Kitaifa
Mikataba ya mafuta yavunja rekodi robo ya nne 2020
Licha ya Corona kuendelea kuitikisa dunia lakini mikataba inayohusiana na shughuli za mafuta na gesi ziliongezeka katika robo ya nne ya mwaka jana katika eneo la Afrika na Mashariki ya Kati, ripoti inaonyesha. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na GlobalData inaonyesha…
Tanzania yang’ara vita dhidi ya rushwa
Tanzania imetajwa kama nchi ya mfano katika mapambano dhidi ya rushwa katika eneo la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Ripoti ya kiwango cha rushwa kwa mwaka 2020 iliyotolewa hivi karibuni na Transparency International imebainisha kuwa katika kipindi cha miaka…
DRC kupata huduma za afya Tanzania
Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika imetenga zaidi ya Sh milioni 550 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali na kituo cha afya ili kuwasogezea wananchi huduma na kuokoa vifo vya mama na mtoto. Ujenzi huo unahusisha Hospitali ya Ikola iliyopo Karema…
Mwinyi ahimiza amani, umoja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi, amewataka Wazanzibari kuimarisha amani na umoja walionao ili kuleta maendeleo. Akizungumza katika Msikiti wa Ijumaa wa Bweleo, Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi baada ya Sala…
Stieglers hatarini
Wakati serikali ikiwekeza matrilioni ya fedha kupata umeme wa uhakika kutoka katika Bwawa la Nyerere lililoko Rufiji mkoani Pwani, hali ni tofauti kwenye vyanzo vya maji ya Mto Rufiji. Mto Rufiji ambao ndio chanzo kikuu cha umeme wa Stieglers (sasa…
Dk. Kalemani: Corona isikwamishe miradi
Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amewataka makandarasi wanaotekeleza miradi ya usambazaji wa umeme vijijini kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya corona huku wakiendelea kutekeleza miradi hiyo na kuikamilisha kwa wakati. Akizungumza wakati akiwasha umeme katika Kituo cha…