JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Shamte azungumzia kifo cha Karume 

Zanzibar Na Mwandishi Wetu Wakati taifa likijiandaa kwa kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mzee  Abeid Amani Karume, mwanasiasa mkongwe, Baraka Mohamed Shamte, amesema waliopanga njama za mauaji ni vigogo wa Umma Party. Anasema…

Kilichowaponza Ndugai,  Kabudi, mawaziri watano 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Swali la msingi wanalojiuliza Watanzania wengi ni nini hasa kilichowaponza Job Ndugai, Profesa Palamagamba Kabudi, William Lukuvi, Geoffrey Mwambe, Profesa Shukrani Manya na Mwita Waitara?  Wanajiuliza wakubwa hawa walikuwa wamesukaje mkakati ambao hapana shaka…

Afya ya Rais Sambi yadhoofu

#Anyimwa chanjo UVIKO-19, wananchi walalamika # Miaka 3 na nusu amefungiwa chumbani kizuizini #Aililia Tanzania, jumuiya ya kimataifa wamsaidie NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Afya ya aliyekuwa Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi, anayeteswa…

Moto wa ujangili wawaka Arusha

*DPP kupitia jalada la kesi aliyobambikiwa mwandishi *Serikali yaingia kazini Na Mwandishi Wetu, Arusha Baada ya Gazeti hili, JAMHURI, la uchunguzi kuchapisha kuhusu kuibua ujangili unaofanywa na mfanyabiashara mwenye asili ya Kiarabu, Saleh Salim Al Amry na baadaye kulalamika kuwa…

Defao alipaswa kuwa Dar siku aliyokufa

TABORA Na Moshy Kiyungi Wiki mbili tu baada ya Gazeti la JAMHURI kuandika maisha ya mkongwe wa muziki wa Afrika na raia wa DRC, Lulendo Matumona, maarufu Le Jenerali Defao, taarifa zikasambazwa kuwa amefariki dunia. Katika toleo la gazeti hili…

Dk. Biteko ageuka mbogo

KAHAMA Na Antony Sollo Waziri wa Madini, Dk. Dotto Biteko, ameagiza kusimamishwa kazi maofisa saba wa madini wa mikoa mbalimbali kutokana na utovu wa nidhamu. Akizungumza na wafanyabiashara wa madini wa Kanda ya Ziwa mjini hapa, Dk. Biteko amesema wapo…