Category: Kitaifa
Mvua zaharibu barabara Ilala, Kinondoni
Mvua zilizonyesha kwa wiki kadhaa zimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Mkoa wa Dar es Salaam hasa katika wilaya za Kinondoni na Ilala. Ziara zilizofanywa na gazeti hili katika maeneo kadhaa katika Mkoa wa Dar es…
Serikali imo gizani katazo la Marekani
Takribani wiki mbili baada ya Marekani kuiingiza Tanzania katika orodha ya nchi ambazo wahamiaji wake hawaruhusiwi kuingia nchini humo, Serikali imesema bado haijapata taarifa rasmi kuhusiana na suala hilo. Aidha, Serikali imesema pia haijapata taarifa zozote kuhusiana na katazo la…
Uzimaji wa simu zisizosajiliwa waendelea
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kutekeleza ahadi ya kuzima laini zote za simua mbazo hazijasajiliwa kwa kutumia alama za vidole. Kwa mujibu wa Mamlaka hiyo, hadi Februari 12, mwaka huu jumla ya laini za simu 7,316,445 zilikuwa zimezimwa baada…
Uchumi unakua kwa kasi – Benki Kuu
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uchumi wa nchi unaendelea kukua kwa kasi pamoja na kuwapo changamoto zinazotokana na kudorora kwa hali ya uchumi wa dunia ambazo zimesababisha kuyumba kwa biashara na uwekezaji duniani. Katika toleo la hivi karibuni la…
Mapato yasaidia kudhibiti deni la ndani la Serikali
Deni la serikali la ndani lilipungua kwa mara ya kwanza mwaka jana katika kipindi cha miaka kumi kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani ambayo hivi sasa yamefikia Sh trilioni 1.6 kwa mwezi, JAMHURI limebaini. Takwimu mpya za…
Kashfa NIDA
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inakabiliwa na kashfa nzito inayohatarisha usalama wa nchi kutokana na uamuzi mbovu walioufanya hivi karibuni; uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kashfa hii imetokana na masilahi binafsi, kiburi cha viongozi, kupuuza wataalamu, weledi mdogo wa baadhi…