Category: Kitaifa
Hamza pasua kichwa
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM Kitendawili cha nini kilichomsukuma Hamza Mohammed kufanya mauaji ya watu wanne na baadaye naye kuuawa kinaendelea kuwa kigumu, baada ya mamlaka inayohusika na magonjwa ya afya ya akili kukana kumtibu. Kitengo cha Magonjwa ya…
Mahabusu: Mahakama zinatutesa
Mahabusu nchini wamelaumu taarifa iliyotolewa hivi karibuni isemayo mashauri yaliyokuwa yamerundikana mahakamani yamemalizika kwa asilimia 98. Katika barua waliyoandika kwa Waziri wa Sheria na Katiba na nakala kwenda kwa Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mtendaji Mkuu wa Mahakama…
Mbunge aandaa jimbo lake kujitenga
MWANZA Na Antony Sollo Mbunge wa Jimbo la Sengerama mkoani hapa, Khamis Tabasamu, anawaunganisha wananchi, husasan wakulima wa pamba wa jimbo hilo kujiondoa kutoka Chama Kikuu cha Ushirika cha Nyanza (NCU). Hali hiyo inakuja kama maono ya Tabasama kuwa hiyo…
Mamluki wa CCM wakaliwa kooni
*Mtandao wa kumpinga Rais Samia ‘wafukiziwa moshi’ *Waahirisha vikao vya kupinga chanjo, waanza kuogopana *Askofu Gwajima atwishwa msalaba, Rais Samia aonya 2025 *Katibu Mkuu asema hakuna mkubwa kuliko chama, watajuta Na Mwandishi Wetu, Dodoma Baada ya kuchapisha habari za uwepo…
Virusi vingine hatari hivi hapa
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Wakati dunia ikiendelea na mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID – 19 unaosababishwa na virusi vya corona; virusi vinavyotambulika kama ‘Human Papilloma’ (HPV) vinatajwa kuwa ni hatari kwa binadamu. Mkurugenzi wa Huduma za Kinga…
‘Ajali za kutisha barabarani zimedhibitiwa’
DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Matukio ya ajali za barabarani yakihusisha magari, pikipiki, Bajaj, baiskeli, guta na watembea kwa miguu yamepungua kwa kiwango kikubwa nchini. Akizungumza na JAMHURI katika mahojiano maalumu, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishina Msaidizi…





