Category: Kitaifa
Watumia laini za simu kuukwaa uraia
Wahamiaji haramu na walowezi wanaoishi hapa nchini wanatumia mwanya wa usajili wa laini za simu wa ‘mwendokasi’ kujipatia vitambulisho vya taifa, JAMHURI limebaini. Hali hiyo imeelezwa kuwapo katika mikoa ya pembezoni mwa nchi, na tayari malalamiko kadhaa yamekwisha kupelekwa kwenye…
Barrick kupunguza wafanyakazi 110 North Mara
Baada ya kukamilisha zoezi la kuimiliki Kampuni ya Acacia Mining, Barrick Gold Corporation ya Canada imeanza kutekeleza mikakati mipya ya kuiendesha migodi iliyokuwa ikisimamiwa na kampuni hiyo, ukiwemo ule wa North Mara uliopo wilayani Tarime. Mikakati hiyo inayolenga kuongeza ufanisi…
Biashara na Qatar yaongezeka maradufu
Mwaka 2012, biashara kati ya Tanzania na Qatar ilikuwa dola milioni 1.24 za Marekani, lakini miaka sita baadaye ilikuwa imeshamiri na kuongezeka takriban mara 31 hadi kufikia dola milioni 38.23 huku taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati likiwa ndilo…
Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla
Wakati sakata la Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla la matumizi mabaya ya madaraka likiendelea kushika kasi, msanii Abdul Nassib (Diamond) ‘amemkaanga’ waziri huyo kupitia kwa meneja wake, Hamisi Taletale (Babu Tale). Taletale amezungumza na JAMHURI na kuanika…
Wapinzani wataweza kuungana 2020?
Ingawa vyama vya ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi na CUF kwa nyakati tofauti vimebainisha haja ya vyama vya upinzani kuungana na kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, hilo bado linaonekana kuwa jambo lililo mbali sana kuafikiwa. Hiyo inatokana na…
Vigogo Bodi ya Kahawa wahaha kujua hatima ya barua kwa DPP
Waliokuwa vigogo wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), wanaoshitakiwa kwa makosa 15 ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha, wamemwandikia Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) wakiomba kukiri makosa yao na kutaka kurejesha mabilioni ya fedha wanayodaiwa kuyachotaka wakiwa watumishi wa…