Category: Kitaifa
Simu ‘yamuua’ Naomi
Siku chache baada ya polisi kutangaza kumkamata Hamis Said Luwongo (38), kwa tuhuma za kumuua na kumchoma moto mke wake, Naomi Marijani, taarifa za kina zimeanza kuvuja na inaonekana simu ya mkononi ilichangia kutokea kwa mauaji hayo. Uchunguzi unaonyesha kuwa…
Machungu mgogoro wa ardhi Kwimba
Mgogoro wa ardhi uliodumu miaka mitatu sasa baina ya Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mahiga na familia ya Dionis Mashiba, Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, unaonekana kupuuzwa na mamlaka wilayani hapa. Mtanziko huo ulioanza mwaka 2016, unatokana na…
Alivyouawa
Siku chache baada ya Polisi kuthibitisha kwamba Naomi Marijani ameuawa, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini kwamba maandalizi ya mauaji yake yalifanyika wiki moja kabla, huku akiishi na mtuhumiwa wa mauaji katika nyumba moja. Uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI umebaini…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (7)
Wiki iliyopita katika sehemu ya 6 hadithi hii iliishia katika aya inayosema: “Sina kitu nitakachopoteza lile dubwasha likinishinda mama yangu. Sana sana nitapoteza roho yangu tu. Sasa roho yangu ikipotea kutakuwa na hasara gani? Je, ni nani ajuaye kwa dhati…
Ameuawa?
Naomi Marijani (36), mama wa mtoto mmoja, mkazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ametoweka katika mazingira yenye utata kiasi cha kujengeka hisia kuwa ameuawa, JAMHURI linaripoti. Hadi leo zimetimia siku 63 tangu Naomi ametoweka katika mazingira yenye kuacha maswali…
Nchi yapiga hatua zaidi sekta ya afya
Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa kuwa na mashine bora 24 zinazopima makundi ya damu. Mitambo hiyo ya kisasa zaidi ulimwenguni inahusika pia kupima maambukizi ya magonjwa mbalimbali ikiwamo homa ya ini na virusi vya ukimwi. Afrika Kusini ndilo…