Category: Kitaifa
Basi la Arusha Express, Laua Wanne , na Kujeruhi 11
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa ambapo watano kati yao hali zao ni mbaya baada ya kutokea ajali ya basi la Kampuni ya Arusha Express lenye namba za usajili T 750 BYQ katika eneo la Bonga, Babati mkoani Manyara…
Humphrey Polepole Atoa limiti ya Wabunge Wanaotaka Kuhamia CCM
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema wabunge wa upinzani wanaotaka kujiunga na chama hicho mwisho wa kufanya hivyo ni Disemba, 2018. Polepole ametoa kauli hiyo jana Jumapili Oktoba 7, 2018 kupitia…
Wizi wa kutisha
>>Bima feki za magari zatamalaki kila kona Dar >>Mtandao wajipenyeza Bandari, TRA, SUMATRA >>Yanayopata ajali, kuua wananchi yatelekezwa >>Kamanda wa Polisi aeleza mchongo wote ulivyo DAR ES SALAAM NA MANYERERE JACKTON Mtandao wa utapeli unaowahusisha wafanyabiashara na watendaji wakuu…
‘Mwizi’ wa magari Moshi apelekwa Kenya
Na Charles Ndagulla, Moshi Mfanyabiashara Bosco Kyara na mwenzake Gabriel Mombuli, wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya na Tanzania wamesafirishwa kwenda nchini Kenya kujibu mashtaka ya wizi wa gari. Kyara ni mkazi wa Makuyuni katika…
Waandishi wa habari washinda kesi
MWANZA NA MWANDISHI WETU Mahakama ya Mkoa wa Mwanza imetupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari, Christopher Gamaina (Gazeti la Raia Mwema) na George Ramadhani (kujitegemea) waliotuhumiwa kujifanya maofisa wa Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu katika Nchi za…