JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

WASANII ASLEY , SHILOLE WASAINI NA TTCL KUNOGESHA KAMPENI YA RUDI NYUMBANI KUMENOGA

  Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Bw. Waziri Kindamba (kulia) akibadilishana hati ya mkataba na msanii Zuena Mohamed maarufu kama Shilole ‘Shishi Baby’ (kushoto), mara baada ya kusaini mkataba huo. Mkataba huo ambao pia msanii Asley Isihaka maarufu kama Dogo Asley…

Lugola amuagiza DCI amkamate aliyekuwa mkurugenzi Nida

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza Mkurugenzi wa Makosa Jinai nchini (DCI) kumkamata aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu kabla ya saa 12 jioni leo na tayari ameshakamata na kupelekwa Dar es Salaam….

ACT Wazalendo wamtaka Museveni amuachie ‘Bobi Wine’

Chama cha ACT-Wazalendo kimemuandikia barua ya wazi Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kikimtaka amuachie Mbunge Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) na wabunge wengine wanaoshikiliwa na Polisi. Kimemtaka Rais Museveni kuweka mbele haki za binadamu kuliko maslahi yake yanayohusiana na siasa na…

Sikiliza Wimbo Mpya ya Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto, kaachia ngoma yake ya kwanza aliyofanya na Producer C9 ambayo inaitwa Madam hero

Upelelezi unasubiriwa kutoka Australia kesi ya ‘Ndama mtoto wa Ng’ombe’

Kesi ya kughushi kibali cha madini ya U.S.D Mil 8 inayomkabili mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein maarufu ‘Ndama mtoto ya Ng’ombe’ kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo upelelezi wake unasubiriwa kutoka nchini Australia. Hayo yameelezwa na wakili wa serikali, Elia Athanas…