Category: Kitaifa
Bomu la mafao
Kuna dalili za kukwama kwa kanuni mpya za ukokotoaji wa mafao ya wastaafu zilizotangazwa na serikali. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imewatoa hofu wananchi kuhusu kanuni hizo ikisema inazisubiri zipelekwe bungeni hata kama zimekwisha kuanza kutumika. Kanuni…
Watua nchini Uingereza kupinga uhifadhi Loliondo
Ujumbe wa watu watano kutoka Loliondo, Tanzania na nchini Kenya, upo nchini Uingereza kuchangisha fedha za kuendesha harakati za kupinga mpango wa serikali wa kutenga eneo la hifadhi ndani ya Pori Tengefu la Lolindo. Hivi karibuni Gazeti la JAMHURI liliandika…
Wakili wa Serikali adaiwa ni Mkenya
Wakili wa Serikali katika Ofisi ya Wakili Mfawidhi Kanda ya Moshi, Omari Kibwana, anadaiwa kuwa si raia wa Tanzania kwa kuzaliwa. Kwa tuhuma hizo, Idara ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro imefungua jalada la uchunguzi ili kubaini ukweli. Kibwana ambaye amekuwa wakili…
‘Balozi’ Alphayo Kidata kufikishwa mahakamani
Kuna kila dalili kuwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada, Alphayo Kidata, atafikisha mahakamani Kisutu muda wowote kuanzia sasa kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka wakati akiwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), uchunguzi wa JAMHURI umebaini….
Benki Kuu yaichunguza BOA
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanza kuichunguza Benki ya BOA ambayo Gazeti la JAMHURI limeandika kwa wiki mbili mfululizo kuelezea jinsi inavyochezea dhamana za wateja, JAMHURI limeelezwa. Wateja wengi wa BOA wamejitokeza na malalamiko ya aina mbalimbali dhidi ya benki…
Amri ya DC Moshi yamchefua Askofu, wananchi Vunjo
Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Dk. Martin Shao, amepinga amri ya Mkuu wa Wilaya (DC) ya Moshi, Kippi Warioba, kuzuia ujenzi wa barabara vijijini katika Jimbo la Vunjo. Barabara hizo zinajengwa kwa…





