Category: Kitaifa
Kucheleweshwa mbolea kulivyoathiri mazao
Wakati Rais John Magufuli akisisitiza mara kadhaa kwamba serikali haitatoa chakula cha msaada kwa watakaokabiliwa na njaa, mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mazao yameharibika kutokana na mbolea za kukuzia kutofika kwa wakati kwa wakulima. Rais Magufuli aliendelea kusisitiza kuwa serikali…
Mo awaumbua watekaji
Tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini na tajiri kijana barani Afrika, Mohamed Dewji, maarufu kama Mo, limewaumbua watekaji, haijapata kutokea. Wakati wakidhani Mo hakuwa na mlinzi, na baada ya kuvua saa na kuacha simu katika eneo la Colosseum Hotel,…
Viongozi wa dini fichueni waovu – RC Mghwira
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amewataka viongozi wa dini kuwafichua walioua viwanda vilivyokuwa mhimili wa uchumi wa mkoa huo pamoja na viongozi waliohusika kufilisi mali za vyama vya msingi na ushirika. Mghwira ameyasema hayo wakati akizindua kamati ya maridhiano…
Bodi ya wakurugenzi yaisafisha UCC
Bodi ya Wakurugenzi ya Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta (UCC), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ikiongozwa na Profesa Makenya Maboko, imetoa ufafanuzi kuhusu tuhuma za wafanyakazi zaidi ya 30 wa kituo hicho wanaomtuhumu Mkurugenzi Mtendaji, Dk. Ellinami Minja…
Mwalimu Nyerere alivyoenziwa
Kumbukizi ya miaka 19 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, afariki dunia imemalizika huku wananchi wengi wakitaka kiongozi huyo aenziwe kwa vitendo. Wananchi walioshiriki mijadala kwenye mitandao ya kijamii, redio, televisheni, magazeti na makongamano wameipongeza Serikali ya Awamu…
Mo sarakasi
Wafanyakazi wa Colosseum Hotel wamekamatwa na kuwekwa rumande wakihusishwa na utekwaji wa Mohammed Dewji (Mo) wiki iliyopita. Miongoni mwao yumo mtaalamu wa mawasiliano ambaye baada ya tukio hilo amekuwa ‘akiwakwepa’ polisi. Polisi wanatilia shaka hatua ya uongozi wa hoteli hiyo…


