Category: Kitaifa
WAZIRI MKUU AKATISHA ZIARA DODOMA, AENDA UKEREWE
WAZIR MKUU Kassim Majaliwa amekatisha ziara ya mkoa wa Dodoma na kuelekea Ukerewe Mwanza kuwafariji wananchi waliopatwa na maafa kutokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere. Waziri Mkuu ambaye alikuwa na ziara ya kikazi ya siku saba katika mkoa…
Updete Ajali ya Mv Nyerere Mwanza
RC wa Mwanza, John Mongela amesema idadi ya watu waliofariki kwa ajli ya #MvNyerere kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 94 leo asubuhi. DC Ukerewe amesema Kivuko kilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 100 na tani 25 za mizigo, lakini…
Miili 44 ya waliofariki katika Kivuko inavyotolewa majini
Zoezi la uokoaji wa abiria waliokuwemo katika kivuko cha MV Nyerere kilichozama limesitishwa kutokana na giza na litaendelea leo alfajiri ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amesema mpaka sasa watu waliyookolewa wakiwa hai ni 37 na waliopoteza maisha…
Emmanuel Amunike Aenda Mapumzikoni Hispania
Baada ya kuingoza Taifa Stars kwenda suluhu ya kutofungana na Uganda The Cranes katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza AFCON 2019, Kocha Emmanuel Amunike amekwea pipa kuelekea Hispania. Amunike ameondoka nchini na shirika la ndege ‘Qatar Airways’ kuelekea nchini huko…
Ndanda Fc Yaikazia Simba
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamelazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya wenyeji wake, Ndanda FC. Hii ni sare ya kwanza kwa Simba baada ya ushindi mara tatu mfululizo. Simba walishambulia mara nyingi zaidi lakini Ndanda wakiwa nyumbani…
SERIKALI INATAMBUA NA KUHESHIMU MCHANGO WA ASASI ZA KIRAIA-WAZIRI UMMY MWALIMU
Mkurugenzi wa Watoto toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Margaret Mussai akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Uwezeshaji wa Asasi za Kijamii kwaniaba ya waziri wa wizara hiyo. Mkutano huo uliandaliwa na taasisi ya NAMA…




