Category: Kitaifa
Waziri Mkuu Achukizwa na Biashara za Magendo
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechukizwa na biashara za magendo zinazoendelea katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hivyo amewataka viongozi wa wilaya hiyo wajipime wenyewe. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kagera Bw. Adam Ntogha kumsimamisha…
Wakazi Dar kupata maji zaidi
Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam na Pwani (Dawasa), Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange, amewatoa hofu wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na Pwani kuhusu upatikanaji wa…
Mifugo yatajwa kuwa ni changamoto ya maendeleo ya barabara Mkoani Rukwa
Meneja wa Wakala wa barabara (TANROAD) Mkoa wa Rukwa Mhandisi Msuka Mkina ameeleza kuwa miongoni mwa changamoto zinazorudisha nyuma ujenzi na matengenezo ya bararabara za mkoani humo ni uwepo wa shughuli za kibinadamu kando ya barabara hizo. Amesema kuwa uswagaji…
TAKUKURU JIRIDHISHENI NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KWA WANANCHI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa TAKUKURU wajiridhishe huduma zinatolewa kwa wananchi bila ya rushwa, watakapobaini rushwa wachukue hatua. Pia, Waziri Mkuu amewataka watumishi wa umma wajiepushe na vitendo vya rushwa pamoja na matumizi mabaya ya fedha za Serikali katika…
MHASIBU WA MAPORI AREJESHWE KWENYE NAFASI YAKE-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa Mapori ya akiba ya Buligi, Biharamulo na Kimisi Bw. Bigilamungu Kagoma amrudishe Mhasibu wa mapori hayo Bw. Adam Kajembe katika nafasi yake. Ametoa agizo hilo baada ya Meneja wa Mapori hayo Bw. Kagoma kumuondoa…
Basi la Arusha Express, Laua Wanne , na Kujeruhi 11
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa ambapo watano kati yao hali zao ni mbaya baada ya kutokea ajali ya basi la Kampuni ya Arusha Express lenye namba za usajili T 750 BYQ katika eneo la Bonga, Babati mkoani Manyara…




