JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

​WAZIRI MKUU AKEMEA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea uharibifu wa makusudi ​wa miundombinu ya barabara na majengo unaofanywa na baadhi ya wananchi na kuwataka waache tabia hiyo mara moja.   Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika…

TGNP Mtandao yaanzisha kijiwe cha hedhi kuwasaidia wasichana

TGNP Mtandao imeanzisha kijiwe maalum cha hedhi kwa wanawake ili kuwawezesha watoto wa kike shuleni kujadili juu ya mwenendo wa hedhi salama. TGNP Mtandao imefikia uamuzi huo wa kuanzisha kijiwe cha hedhi baada ya kubaini uwepo wa watoto wengi wa…

Rais Magufuli Atoa Agizo kwa wanaodaiwa na JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Alhamisi Mei 17, 2018 amefungua kituo cha Uwekezaji cha Suma JKT kilichopo Mgulani. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama…

Nondo Akwama Ombi la Kumkataa Hakimu, kuendelea na Kesi Yake

Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, John Mpitanjia anayeendesha kesi inayomkabili Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Abdul Nondo amekataa kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa, ushahidi wa mtuhumiwa anayetaka ajitoe haujajitosheleza. Katika maombi ya msingi,…

Kauli ya serikali kuhusu ajira za vijana waliopita JKT

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt Hussein Mwinyi amesema serikali inatarajia kuajiri wastani wa vijana 6,000 waliopitia JKT kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama. Aidha amesema kujiunga na JKT kwa kujitolea, hakutoi uhakika wa…

JINSI RAIS MAGUFULI ALIVYOFANYA ZIARA YA GHAFLA BANDARINI DAR ES SALAAM KUKAGUA MATANKI YA MAFUTA YA KULA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya safari ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji wa ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari…