Category: Kitaifa
Othman : Viongozi wa dini wana haki haki ya kuangalia haki, amani na utulivu
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ni wajibu kwa viongozi wa dini kuangalia haki, utulivu na amani ya kweli, wanayoihitaji Wananchi wote, kwaajili ya Maendeleo ya Taifa zima. Amesema, viongozi hao ndio wenye dhima ya kuhakikisha…
Singapore na Tanzania zakubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
Serikali ya Singapore na Tanzania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo na kiuchumi kupitia sekta mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa bandari, utalii, sekta ya fedha, usafirishaji, biashara na uwekezaji, elimu na kilimo ili kuchochea kasi ya maendeleo ya Taifa na wananchi wake….
Naombeni ridhaa yenu Jimbo la Mbulu Vijijini nilete mabadiliko -Mgombea CHAUMMA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Mkoani Manyara, kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mwalimu Stephen Siasi, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa nafasi ya Ubunge katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu. Mwalimu Siasi amekabidhi…
Mgombea Jimbo la Mafinga kwa tiketi ya CHAUMMA aahidi kuongeza ajira
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mji kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ngwada Mubarak Twaha, ameamua kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho ili kupambana na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira, hususan kwa vijana wenye shahada za vyuo vikuu ambao…