JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Chama Cha Maofisa Uhusiano Chazinduliwa Dar

CHAMA Cha Maofisa Uhusiano wa Umma (PRST) kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, ambapo maudhui makubwa ya kuundwa kwa umoja huo ni kutambulika rasmi kama taasisi na kupanuana mawazo ya utumishi miongoni mwa wanachama, ikiwa ni pamaoja na kuendesha shughuli zao…

RC WANGABO: Wenye Madeni Lazima Wakatiwe Maji

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo ameiagiza Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (SUWASA) kuwakatia maji wateja wenye madeni sugu ili waweze kulipa madeni yao wanayodaiwa na taasisi mbalimbali za serikali nchini.   Amesema kuwa uendeshaji…

Mtulia Akabidhiwa Kadi Ya CCM

  ALIYEKUWA Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia amekabidhiwa rasmi kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mapema leo katika ofisi za chama hicho.   YALIYOSEMWA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA KINONDONI KUPITIA CUF MAULID MTULIA MARA BAADA…

Chadema Yakanusha Kuhusu John Mnyika Kujivua Ngwamba

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika amejivua uanachama wa chama hicho. Disemba 3 kuanzia majira ya alasiri zilianza kusambaa taarifa zinazodai kuwa mbunge huyo amekihama chama hicho…

MARY MAJALIWA: Wazazi Wekezeni Kwenye Elimu Ya Watoto

  MKE wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa amewaomba wazazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wahakikishe wanatumia sehemu ya kipato chao katika kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao.   Amesema elimu ndiyo jambo pekee linaoweza kumsaidia mtoto katika kutimiza…

Steve Nyerere Amtolea Povu Polepole, Wema Kurejea CCM

Muda mfupi baada ya Wema Sepetu kutangaza kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimesema hakina taarifa rasmi kuhusu Wema kutaka kurudi. Hayo yamesema na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram…