JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Zanzibar watafiti mafuta, gesi

Na Dk. Juma Mohammed Utafiti wa uchimbaji wa mafuta na gesi asilia unaweza kuzidisha umaarufa wa Visiwa vya Zanzibar ambavyo vimetajwa na waandishi wengi wa vitabu na hata watu wengine mashuhuri waliopata kuvitembelea visiwa hivi kwa miaka mingi iliyopita. Ugunduzi…

Unga unavyosafirishwa

Kampuni ya Usafirishaji wa Vifurushi (DHL) imeelezwa kutumiwa na wafanyabiashara haramu ya dawa za kulevya, kwa kusafirisha dawa hizo ndani na nje ya nchi. Vyanzo vya habari vya uhakika vimeliambia JAMHURI kuwa wauza unga wamekuwa wakitumia kampuni ya DHL kusafirisha…

Meneja MPRU awatisha wafanyakazi

Meneja wa Taasisi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Dk. Milali Machumu, analalamikiwa kwa kuendeleza ubabe kwa wafanyakazi wa chini yake, huku akiendelea kuwahamisha vituo vya kazi kwa madai kwamba wanatumikia adhabu. Baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hiyo…

BoT yaleta ahueni kwa wakopaji

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeshusha riba ya mikopo ya fedha inayoyakopesha mabenki ya kibiashara nchini kutoka asilimia 16 ya awali hadi asilimia 12. Katika barua yake yenye kumb.GA.302/389/01 Vol VII ya Machi 3,2017,  Naibu Gavana wa Benki Kuu, Dk….

Ridhiwani achunguzwa

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, anachunguzwa na vyombo vya dola kuhusiana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, JAMHURI linathibitisha. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI na kuthibishwa na mamlaka mbalimbali, jina la mbunge huyo ambaye ni mtoto…

Ajira kikwazo cha uchumi

Ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu ni miongoni mwa sababu zinazochangia uchumi wa nchi kuporomoka, huku vitendo vya uhalifu vikiongezeka katika jamii. Akizungumza na JAMHURI, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Humphrey Moshi,…