Category: Kitaifa
Utata waliofia mgodini TanzaniteOne
Usiri mkubwa unaendelea kufanywa na wamiliki wa mgodi wa TanzaniteOne mkoani Manyara, baada ya kubainika kufukiwa kwa watu watatu; watumishi wa mgodi huo. Watu hao walifukiwa kwa kile kinachoelezwa kwamba walishukiwa kuwa ni wavamizi walioingia mgodini kujitwalia madini ya tanzanite….
TBL wakwepa kodi hadi Uingereza
Kwa muda wa wiki sita tumekuwa tukikuletea mwedelezo wa taarifa jinsi kampuni ya SABmiller inayomiliki Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) inavyotumia udhaifu wa kisheria kutolipa kodi sahihi. Ifuatayo ni taarifa ya utafiti uliofanywa na Kampuni ya Uingereza iitwayo ActionAid…
Mikopo yaponza wabunge
Hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ya kuwafikisha wabunge wanne mahakamani kwa tuhuma za kuomba rushwa, uchunguzi wa JAMHURI umebaini kuwa mikopo waliyochukua wabunge kutoka benki mbalimbali nchini imegeuka mwiba kwao. Taarifa za benki mbalimbali na…
Mwalimu Nyerere wadanganya umma
Kwa wiki mbili zilizopita gazeti hili la JAMHURI, limechapisha taarifa za upungufu mkubwa na matatizo mbalimbali yaliyoko katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, zamani kikijulikana kama Chuo cha Siasa Kivukoni. Miongozi mwa habari zilizochapishwa na JAMHURI, ni pamoja na…
Wanywaji wailalamikia TBL
Wananchi na watumiaji wa bia wamelalamikia hatua ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupandisha bei ya bia kabla hata bajeti ya Serikali haijapitishwa. Tangu Aprili 1, 2016 bei za bia zimepanda kutoka wastani wa Sh 2,300 na kufikia 2,500, huku…
Kigogo Uhamiaji aibeba TBL
Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam (RIO), John Msumule, ameibeba Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa kupuuza agizo la kufanya ukaguzi kwa wafanyakazi kiwandani hapo. Vyanzo vya habari vya uhakika kutoka idarani humo vimedokeza kuwa Uhamiaji…