Category: Kitaifa
Kairuki abainisha maeneo saba atakayoyasimamia TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amebainisha vipaumbele na maeneo ambavyo Wizara itawekea mkazo katika kipindi ambacho atakuwa akihudhumu katika Ofisi ya Rais TAMISEMI. Amebainisha hayo leo tarehe 03 Novemba, 2022…
Serikali yasitisha utambuzi wa mifugo kwa hereni za kielektroniki
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imesitisha kwa muda wa miezi mitatu zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki wakati ikiendelea na tathmini ambayo itawezesha kutoa muongozo wa namna bora zaidi ya kutekeleza zoezi hilo. Majaliwa amesema…
Majaliwa atoa agizo kwa Wizara ya Maji, DAWASA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maji kwa kushirikiana na sekta binafsi ihakikishe inakamilisha taratibu za utekelezaji wa mradi wa kutoa maji Mto Rufiji utakaosambaza maji katika maeneo ya mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Pia,Majaliwa ameielekeza Mamlaka…
Chongolo:Tanzania na Cuba zina urafiki wa kihistoria
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema kuwa, kupitia dhamana ya kuongoza Serikali na nchi, kitahakikisha urafiki wa muda mrefu kati ya CCM na Chama cha Kikomunisti cha Cuba (CPC) na uhusiano wa Tanzania…