Category: Kitaifa
Lubuva moto
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva, amesema wanaodhani atakipendelea Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye utangazaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu, wanajidanganya. Amesema yeye ni mtu mwenye msimamo usioyumba na hawezi kuzuia uamuzi wa watu kwenye…
Sumaye alipua waliochota IPTL
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ameibua upya sakata la uchotwaji mabilioni ya shilingi kutoka kwa Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Singh Seth. Kampuni hiyo ilikuwa mbia wa VIP Engineering ya James Rugemarila ambao kwa pamoja walikuwa…
Magaidi watishia kulipua Polisi
Jeshi la Polisi nchini limenasa waraka unaolenga kuvamia askari wa jeshi hilo au familia zao, hali ambayo imezusha hofu miongoni mwao. Kutokana na tishio hilo, tayari viongozi wa ngazi za juu wa jeshi hilo wameshaanza kujiwekea tahadhari katika maeneo wanayoishi…
Pigo jipya CCM
Hatari ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kupoteza wanachama wazito katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu inazidi kukinyemelea chama hicho, uchunguzi wa gazeti la JAMHURI umebaini. Habari kutoka ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), zinaonyesha kuna wimbi kubwa…
Ulinzi wa Edward Lowassa usipime
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeibuka na hofu mpya juu ya kudhuriwa kwa mgombea urais wa chama hicho kwa kofia ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Kutokana na hali hiyo, umoja huo sasa umeimarisha ulinzi kwa kiongozi huyo…
CCM Upanga kupoteza udiwani
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Upanga Magharibi kiko hatarini kupoteza kiti cha udiwani baada ya kada aliyeteuliwa kuwania nafasi hiyo kudaiwa kuingia kwa figisufigisu mbali ya kuwa na tuhuma za kufungwa jela kwa makosa mbalimbali ya jinai. Na vyama…