Category: Kitaifa
Putin anakuja Tanzania
Obama anataka niwe Rais Tanzania-Waziri
*Wabunge wakataa ‘hongo’ ya safari ughaibuni aliyowaahidi
*Ripoti aliyowasilisha yatupwa, wasema imejaa ubabaishaji
*Msanii aliyekuwa Marekani na Nyalandu, Aunty Ezekiel anena
Waziri aonya rushwa Zimamoto
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima, amewataka askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kuepuka tamaa hasa vitendo vya kupokea rushwa.
Kibao chawageukia Al-Shabaab, Boko Haram
INTELIJENSIA ya Serikali za Nigeria na Somalia, zimeshtukia mipango ya makundi ya kigaidi ya Al-Shaabab na Boko Haram yaliyopanga kuungana, lakini mambo yamewawia ugumu.
Aunty Ezekiel atanua na Nyalandu Marekani
*Ni msanii aliyedokezwa na gazeti hili wiki iliyopita
*Mrembo akiri walikuwa pamoja kutangaza utalii
*Asisitiza sehemu kubwa ya bajeti ilitoka wizarani
*Yaelezwa ndicho kilichomkera Rais Kikwete Marekani
Ni ufisadi wa kutisha Geita
Viongozi wa kijiji wajichotea fedha ‘kiulaini’
Vigogo watatu wa Kijiji cha Mawemeru kilichopo katika Kata ya Nyarugusu, Wilaya ya Geita, mkoani hapa wanatuhumiwa kujigeuza “Miungu-watu” kwa kutafuna fedha za wanakijiji Sh 50 milioni.
Kwa nafasi hiyo, vigogo hao wanadaiwa kukigeuza kijiji hicho “shamba la bibi” huku wananchi wanaojitokeza kuhoji taarifa ya mapato na matumizi wakitishwa na wengine wakiishia kuswekwa ndani.
Vigogo waliokumbwa na tuhuma hizo ni Ofisa Mtendaji wa Kijiji, Agness Matibu, Mwenyekiti wa Kijiji, Mussa Maduhu, pamoja na Mchumi, Philipo Kamuye, ambao, kwa kushirikiana wanadaiwa kutafuna kiasi hicho cha fedha.
Fedha hizo, zaidi ya Sh 50 milioni zinatokana na vyanzo vya ndani vya mapato yatokanayo na kijiji. Kadhalika sehemu ya fedha hizo hutokana na mapato yatokanayo na wawekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi.
Vyanzo vya gazeti hili vilidai kuwa vigogo hao kwa pamoja wameshirikiana kufisadi mapato ya kijiji na kwamba suala lolote linalohusu fedha zitokanazo na vyanzo hivyo, hakuna mwananchi anayeruhusiwa kuhoji na hawajawahi kusomewa taarifa za mapato na matumizi tangu mwaka 2011.
- TRA yawakumbusha wamiliki wa magari yasiyokidhi matakwa mwisho wa kulipa
- Kambi maalumu ya matibabu Arusha, yawanufaisha wagonjwa wa mishipa ya damu na figo
- Kuelekea mwaka mpya 2026, REA yawakumbuka wenye mahitaji
- TIB yaagizwa kuhakikisha inachagiza ukuaji wa maendeleo ya uchumi wa taifa
- Mafunzo ufuatiliaji, tathmini kuongeza tija utekelezaji wa mipango ya wizara
Habari mpya
- TRA yawakumbusha wamiliki wa magari yasiyokidhi matakwa mwisho wa kulipa
- Kambi maalumu ya matibabu Arusha, yawanufaisha wagonjwa wa mishipa ya damu na figo
- Kuelekea mwaka mpya 2026, REA yawakumbuka wenye mahitaji
- TIB yaagizwa kuhakikisha inachagiza ukuaji wa maendeleo ya uchumi wa taifa
- Mafunzo ufuatiliaji, tathmini kuongeza tija utekelezaji wa mipango ya wizara
- Majambazi wanne wauawa Songwe, waliwahi kufungwa miaka 30 jela
- Serikali yaanza rasmi mchakato wa kuboresha sheria ya elimu
- Wawili wafariki kwa kupigwa na radi Tabora
- Vipaumbele vya Rais Samia vyazalisha ajira 86,621 Pwani
- Wagonjwa wa moyo 900 wahudumiwa kwa mwezi Tawi la JKCI Oysterbay, lavunja rekodi,
- Tanzania, UAE wazidi kuimarisha ushirikiano wa kimkakati
- Simbachawane asifu NIDA kuzindua mfumo wa NIDA Code Number
- Rais Mwinyi aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi
- Mradi wa utafiti wa mafuta na gesi Eyasi – Wembere waajiri zaidi ya Watanzania 2,000
- Dk Mwigulu akagua hali ya uzalishaji na usambazaji wa maji Ruvu Chini