Category: Kitaifa
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kwimba walilia maji safi
Mbunge wa Kwimba, Shanif Hirani Mansoor (CCM), amesema ameshaanza kushughulikia ujenzi wa mabwawa ya maji katika kata kadhaa jimboni humo.
Mchele wakosa soko Same
Wakulima wa mpunga wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wameeleza kushangazwa na uamuzi wa Serikali kuruhusu uagizaji wa mchele kutoka nje ya nchi, wakati wao wamekosa wanunuzi wa tani 15,000 za bidhaa hiyo hapa nchini.
- Waajiriwa wapya NIRC wasema wana deni kwa Rais Samia, Tume yawataka kuchapa kazi
- CAG afurahishwa na makumbusho ya Ngorongoro Lengai UNESCO Geopark
- Pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea ubunge ACT-Wazalendo latupwa
- NIRC yakamilisha uchimbaji visima mashamba ya BBT Ndogoye na Chinangali
- Waziri Mkuu : Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi ya nishati safi ya kupikia
Habari mpya
- Waajiriwa wapya NIRC wasema wana deni kwa Rais Samia, Tume yawataka kuchapa kazi
- CAG afurahishwa na makumbusho ya Ngorongoro Lengai UNESCO Geopark
- Pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea ubunge ACT-Wazalendo latupwa
- NIRC yakamilisha uchimbaji visima mashamba ya BBT Ndogoye na Chinangali
- Waziri Mkuu : Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi ya nishati safi ya kupikia
- Vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 vyapatiwa huduma ya umeme Kilimanjaro
- Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Kanali Mstaafu Kembo Mohadi awasili nchini
- Ziana Mlawa :SHIMIWI ni mahala pa kazi
- Mgombea urais kupitia CCM akiwa katika mkutano wa hadhara Kilosa
- NACTVET yatoa ithibati kwa program tano za CBE
- Serikali yaimarisha miundombinu ya CNG harakati za kuleta mapinduzi ya nishati
- Mgombea ubunge Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya AAFP aipongeza INEC
- Gari, pikipiki, dhahabu, simu janja zaongeza msisimko katika mnada wa Piku
- Dk Nchimbi atua Mwanza kuomba kura kuelekea uchaguzi Mkuu
- TAKUKURU Lindi yajiimarisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu thamani ya kura
Copyright 2024