Category: Kitaifa
Mbowe afichua njama za CCM
*Asema Sh bil. 29 ni za kuibakiza madarakani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema Sh bilioni 29 zilizotengwa na Serikali kwa ajili ya Presidential Delivery Unit (Kitengo cha Kufuatilia Ufanisi wa Miradi), zitatumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha kinabaki madarakani.
Mawaziri wagongana
*Dili ya uwekezaji yawafanya washitakiane kwa Waziri Mkuu
*Wajipanga kumkabili Kagasheki, naibu achekea kwenye shavu
Mawaziri wawili na wabunge kadhaa wameungana dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, kukoleza mgogoro ulioibuka Loliondo.
FCC yateketeza vipuri bandia
Tume ya Ushindani na Haki (FCC) nchini imeteketeza vipuri bandia vya magari, na kuwaonya wafanyabiashara kujiepusha kununua na kuuza bidhaa zilizoghushiwa.
Bagamoyo wamegewa neema nyingine
*Vijiji 20 kugawiwa fedha, chakula, elimu
Wakati bado mjadala wa upendeleo wa wilaya yake ukiendelea kumwandamana Rais Jakaya Kikwete, mradi mwingine wa mabilioni ya shilingi umepelekwa katika vijiji 20 vya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Bila kudhibiti NGOs Loliondo haitatulia
Kwa mara nyingine, Loliondo imetawala kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Sina desturi ya kuitetea Serikali, lakini hiyo haina maana kwamba inapoamua kufanya jambo la manufaa kwa vizazi vya sasa na vijavyo, nishindwe kuitetea.
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
- Katambi: EACLC leteni wafanyabiashara wenye teknolojia na ujuzi ambao haupo nchini
- Ubora wa CBE wazidi kuongezeka kimataifa
- Serikali ya Tanzania si ya kuamrishwa wala kupewa maelekezo – Rais Samia
- Nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria na sio madhehebu ya dini – Dk Samia
- NMB yatoa 500m/- kusaidia matibabu ya moyo ya watoto 125 nchini
Habari mpya
- Katambi: EACLC leteni wafanyabiashara wenye teknolojia na ujuzi ambao haupo nchini
- Ubora wa CBE wazidi kuongezeka kimataifa
- Serikali ya Tanzania si ya kuamrishwa wala kupewa maelekezo – Rais Samia
- Nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria na sio madhehebu ya dini – Dk Samia
- NMB yatoa 500m/- kusaidia matibabu ya moyo ya watoto 125 nchini
- Tutaendelea kuilinda Tanzania na usalama wa raia na mali zao – Rais Dk Samia
- Mawaziri, viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika kikao cha JNICC
- Rais Samia : Walioandaa vurugu walidhamiria kuangusha dola ya nchi yetu
- Desemba 9, tuepuke “Kaliba kashaija…”
- Kunenge : Bodaboda wote wapewe mafunzo ya usalama barabarani mkoani Pwani
- Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 2-8, 2025
- Wananchi wa Ormekeke Ngorongoro waanza kunufaika na mradi wa maji
- CBE yashika nafasi ya nane ubora vyuo elimu ya juu
- Tuchukue hatua kuepuka madhara ya usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa -Serikali
- Balozi wa Uturuki akaribisha wawekezaji sekta ya afya