Category: Kitaifa
Hospitali ya Jeshi Lugalo kupandishwa daraja
Serikali imeaanza mipango ya kuipandisha Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, kuwa Hospitali ya Rufaa, Bunge limeelezwa.
HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI
UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio…
Vigogo wa bilioni 300 wakalia kuti kavu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema vyombo vya dola vimeanza kuchunguza taarifa za kuwapo kwa zaidi ya Sh bilioni 300 zilizofichwa katika benki nchini Uswisi.
Pinda ameliambia Bunge kuwa Serikali imepata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari, na kwamba tayari wameanza uchunguzi na baadaye watatangaza matokeo.
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia
Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
- INEC yaondoa fomu za uteuzi wa Wagombea urais
- Rais Samia amewasha umeme vijiji vyote Arusha
- TACTIC yaimarisha huduma za usafiri na usafirishaji Manispaa ya Sumbawanga
- Global Education Link yaanza kusafirisha wanafunzi nje ya nchi
- Viongozi, wasanii na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za CCM
Habari mpya
- INEC yaondoa fomu za uteuzi wa Wagombea urais
- Rais Samia amewasha umeme vijiji vyote Arusha
- TACTIC yaimarisha huduma za usafiri na usafirishaji Manispaa ya Sumbawanga
- Global Education Link yaanza kusafirisha wanafunzi nje ya nchi
- Viongozi, wasanii na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za CCM
- Shamrashamra za uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu CCM
- Mgombea nafasi ya urais CCM akiwasili viwanja vya Tanganyika Packers
- Kitila Mkumbo, Angellah Kairuki warudisha fomu kwa mtindo huu
- Watoto wawili wauawa kwa risasi kanisani Marekani
- Boniface Mwangi atangaza kuwania urais Kenya mwaka 2027
- Mashambulizi makubwa ya Urusi yaua 10 Ukraine
- Rwanda na Msumbiji zatia saini makubaliano ya usalama
- Marekani yamfuta kazi Mkurugenzi wa Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa
- Kesi ya kupinga kutoteuliwa Mpina yaendelea mahakamani
- Waziri Pembe ahimiza amani wakati wa uchaguzi