Category: Kitaifa
Rais Samia amlilia DED wa Igunga
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga (DED), Fatma Omar Latu pamoja na dereva wake.
Makinda: Sensa ya 2032 inategemea kujikosoa kwa sensa ya 2022
Kamisaa wa Sensa Anne Makinda ameeleza ,Maandalizi ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2032 inategemea mafanikio na ufumbuzi wa changamoto zilizojitokeza sensa ya mwaka 2022 ili kuleta matokeo chanya. Ameelezea kwamba,ameshukuru Sensa hii imefanywa kwa uzalendo na wananchi…
IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu…