Category: Kitaifa
CCM washauriwa kutopoteza muda kwa malumbano
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na majibizano kwa kuwa kuna kazi muhimu mbele yao ya kujenga Chama na nchi. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan…
FCC yawaomba wafanyabiashara kuzingatia ubora kwenye bidhaa zao
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Tume ya Ushindani ( FCC), imetoa wito kwa Wazalishaji wa bidhaa hapa nchini kuhakikisha bidhaa zao wanazifanya ziwe na mwonekano mzuri ili kuwavutia wateja pamoja na kukabiliana na ushindani wa soko uliopo kwa sasa. Rai hiyo imetolewa…
Tanzania kunufaika na dola bilioni 1 kutoka Korea
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kutenga kiasi cha dola za Marekani bilioni 1 zitakazotolewa kwa njia ya mkopo nafuu kwa Tanzania kupitia Mfuko wa Shirika la Maendeleo ya Kiuchumi…
Rais Samia ang’ara kwa kupata kura 1914
Mweyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan amepata kura 1914 huku akipata kura moja ya hapana. Kwa Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania bara, Abdulrahman Kinana amepata kura 1,913 na mbili za hapana huku Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Dk.Hussein Ali Mwinyi…





