Category: Kitaifa
‘Maafisa wa IEBC waliharakisha tangazo la mshindi wa urais kuhofia usalama wao’
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), kupitia wakili wake George Murugu imesema kuwa ilitangaza kwa ‘haraka’ matokeo ya Urais kufuatia wasiwasi wa usalama wa wafanyikazi wake. Amesema tume hiyo ilifanya uamuzi wa kutotangaza majimbo 27 yaliyosalia licha ya kujumlishwa…
Mulamula:Tanzania kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amesema azma ya Serikali ya Tanzania ya kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi iko pale pale ndio maana inaandaa inafanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha changamoto hiyo…
RC Ruvuma azindua Baraza la Wazee
Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua Baraza la Wazee Mkoa wa Ruvuma katika hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Songea Klabu. Akizungumza kabla ya uzinduzi huo,Kanali Thomas amesema serikali imekuwa ikitoa huduma kwa wazee kwa…
Rais Dkt.Mwinyi aridhia kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo amekubali barua ya kujiuzulu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), ACP Ahmed Khamis Makarani. Hayo ni kwa…
Vyanzo vikuu nane vya migogoro ya ardhi Dar
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Allan Kijazi amesema kupitia kamati aliyoiunda ya kutatua migogoro ya Ardhi Jijini Dar es Salaam imebaini vyanzo vikuu nane vya migogoro ikiwemo uvamizi,kughushi nyaraka na utapeli. Dkt. kijazi ameyasema hayo…