JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Kinana atua Kigoma kwa ziara ya kuimarisha chama

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani pamoja na kusikiliza…

Waliohesabiwa wafikia asilimia 99.93

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema kuwa asilimia 99.9 ya watanzania wamehesabiwa katika sensa ya watu na makazi iliyoanza Agosti 23,mwaka huu. Hayo yameelezwa leo Agosti 31,2022 na Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt Albina Chuwa…

Dkt.Kiruswa aihakikishia Korea Kusini fursa za uwekezaji sekta ya madini

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameihakikishia Nchi ya Korea Kusini kuhusu uwepo wa fursa nyingi za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Dkt. Kiruswa ametoa wito huo wakati akifungua mkutano wa kitaalamu wa African Minerals Geosciences Initiative (AMGI) uliolenga…

Rais Samia aagiza upelelezi ufanyike kabla ya kuwekwa mahabusu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Ramadhan Kingai kuhakikisha unafanyika upelelezi na kuwa na ushahidi wa kutosha kabla ya kumuweka mtuhumiwa mahabusu. Rais…

Chalamila atoa siku 7 kwa watumishi wa bandari kubadilika

N Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila,ametoa siku saba kwa watumishi wa makao makuu mamlaka ya Bandari(TPA),kubadilika kabla hajaanza kuchukua hatua dhidi yao. Chalamila, ametoa agizo hilo wakati akiongea na watumishi wa mamlaka hiyo wakati akikagua shughuli…