JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

China yasemehe baadhi ya madeni Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa Mikataba na Hati za Makubaliano ya kimkakati 15 akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Xi Jinping.  Miongoni mwa mikataba hiyo…

Kairuki abainisha maeneo saba atakayoyasimamia TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amebainisha vipaumbele na maeneo ambavyo Wizara itawekea mkazo katika kipindi ambacho atakuwa akihudhumu katika Ofisi ya Rais TAMISEMI. Amebainisha hayo leo tarehe 03 Novemba, 2022…

Serikali yasitisha utambuzi wa mifugo kwa hereni za kielektroniki

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imesitisha kwa muda wa miezi mitatu zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki wakati ikiendelea na tathmini ambayo itawezesha kutoa muongozo wa namna bora zaidi ya kutekeleza zoezi hilo. Majaliwa amesema…

Majaliwa atoa agizo kwa Wizara ya Maji, DAWASA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maji kwa kushirikiana na sekta binafsi ihakikishe inakamilisha taratibu za utekelezaji wa mradi wa kutoa maji Mto Rufiji utakaosambaza maji katika maeneo ya mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Pia,Majaliwa ameielekeza Mamlaka…