JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Wabunge wakumbushwa kutekeleza kwa wakati ahadi zao

Na Is-Haka Omar,JamhuriMedia,Pemba NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk.Abdulla Juma Mabodi, amewataka Wabunge, Wawakilishi na Madiwani kutekeleza kwa wakati ahadi walizotoa kwa wananchi katika kampeni za uchaguzi uliopita. Wito huo ameutoa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Cha…

Sillo: Fedha za UVIKO 19 za Rais Samia zimejenga madarasa 78 Babati

Mbunge wa jimbo la Babati Vijijini Mheshimiwa Daniel Sillo, amesema ndani ya kipindi cha miaka miwili akiwa madarakani yapo mambo mengi ambayo yamefanywa na serikali katika jimbo hilo na bado mipango inaendelea. Mheshimiwa Sillo ambaye pia ni mwenyikiti wa kamati…

Waziri wa Mambo ya Nje Iran awasili Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran,Amir Abdollahian aliwasili nchini jana usiku kwa ziara ya kikazi ya siku tatu na kupokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata…

Serikali kuja na mpango ufugaji nyuki wa manzuki

Serikali imejipanga kuja na mpango wa ufugaji nyuki ujulikanao kama Manzuki ambapo nyuki watakuwa wanafugwa katika eneo maalum bila kuathiri uhifadhi. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata…