Category: Kitaifa
Serikali yapokea bil.13.2/- kupunguza migogoro ya wanyama na binadamu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ruvuma SERIKALI imepokea Euro milioni 6 sawa na shilingi bilioni 13.2 kutoka Shirika la Ujerumani la GIZ kwa ajili ya mradi wa kupunguza migogoro baina ya binadamu na wanyamapori hasa kwenye maeneo ya pembezoni mwa hifadhi. Hayo yamesemwa…
Kinana ahitimisha ziara kwa kuzungumza na wana-CCM Mwanza
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amehitimisha ziara yake mkoani Mwanza kwa kuzunguzumza na wanachama wa Chama hicho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo. Mkutano huo ulihudhiriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu…
Karani wa sensa akutana na ‘mauzauza’ aona miti badala ya nyumba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mratibu wa wa sensa katika Wilaya ya Igunga Ally Hemed amesema kwamba Karani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora, alishindwa kuifikia kaya moja iliyopo katika kijiji cha Migelele, Kata ya Lugubu wilayani humo baada ya…
Msanii Mrisho Mpoto apeperusha vema bendera ya Tanzania
Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Burundi Msanii maarufu katika kughani mashairi nchini Tanzania Mrisho Mpoto, maarufu ‘Mjomba’ amepeperusha vema bendera ya Tanzania Tamasha la Tano la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) nchini Burundi. Msanii Mjomba amekonga nyoyo za washiriki…