Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi Buhigwe baada ya kufunguwa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na Wafanyakazi wa Tanesco mara baada ya kuzima Majenereta na kuzindua umeme wa Gridi ya Taifa kwa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Kasulu tarehe 17 Oktoba, 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba 2022.