JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Balozi Fatma: Fanyeni kazi kwa bidii na ushirikiano

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab amewasihi watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na kwa ushirikiano mkubwa ili kuiwezesha Serikali kufikia malengo yake iliyojiwekea….

Serikali yapiga marufuku wauzaji viwanja vya 20 kwa 20

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt.Angeline Mabula amezipiga marufuku kampuni na watu wanazojihusisha na uuzaji holela wa viwanja ambao hauzingatii matakwa ya Sheria ya Mipangomiji Na 8 ya Mwaka 2007 Sura 355. Ni kampuni…

Kinana atua Kigoma kwa ziara ya kuimarisha chama

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani pamoja na kusikiliza…

Waliohesabiwa wafikia asilimia 99.93

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema kuwa asilimia 99.9 ya watanzania wamehesabiwa katika sensa ya watu na makazi iliyoanza Agosti 23,mwaka huu. Hayo yameelezwa leo Agosti 31,2022 na Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt Albina Chuwa…

Dkt.Kiruswa aihakikishia Korea Kusini fursa za uwekezaji sekta ya madini

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameihakikishia Nchi ya Korea Kusini kuhusu uwepo wa fursa nyingi za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Dkt. Kiruswa ametoa wito huo wakati akifungua mkutano wa kitaalamu wa African Minerals Geosciences Initiative (AMGI) uliolenga…