Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu alipowasili  katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili.

By Jamhuri