Category: Michezo
Mwana FA: Mungu akipenda fainali ya Kombe la Shirilisho Afrika itachezwa uwanja wa Mkapa
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Sallaam Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amewatoa hofu wanamichezo nchini mara baada ya uwanja wa Benjamin Mkapa kufungwa hivi karibuni kupisha ukarabati kuchukua nafasi. Uwanja wa Benjamin Mkapa umekuwa…
Timu za kuogelea zang’ara mashindano ya taifa
Na Lookman Miraji Mashindano ya vilabu ya taifa kwa mchezo wa kuogelea yamefikia hatamu hapo jana, Aprili 27 jijini Dar es salaam. Mashindano hayo ambayo ni sehemu ya kalenda ya chama cha kuogelea nchini yamejumuisha vilabu vya mchezo huo kutoka…
Simba mmeipa heshima nchi yetu – Rais Samia
Repost from @samia_suluhu_hassan•Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup), na kuandika historia ya kufika fainali ya mashindano haya. Mmeipa nchi yetu heshima kubwa. Nawatakia…
Makamu wa Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa viwanja vya michezo va Priz Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali zote mbili chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi zimedhamiria kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Michezo kwa kujenga…
Rais Samia ampongeza Alphonce kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania
Repost from @samia_suluhu_hassan•Pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon). Umefanya kazi nzuri. Ushindi wako ni matokeo ya kujituma kwa bidii, maandalizi mazuri, nidhamu yako kuanzia jeshini,…