JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Liverpool Yaishusha Manchester United, Yaibebesha Furushi la Magoli West Hum

Mohamed Salah alifunga bao la lake la sita mfululizo na kuisadia Liverpool kupanda hadi nafasi ya pili katika jedwali la ligi kupitia ushindi mzuri uliowafurahisha mashabiki wake dhidi ya West Ham. Emre Can aliiweka kifua mbele timu hiyo ya mkufunzi…

Mechi ya Yanga v Ndanda yasogezwa mbele

Bodi ya Ligi (TPLB) imefanya mabadiliko ya mchezo namba 153 kati ya Lipuli na Ndanda uliokuwa uchezwe Ijumaa Machi 2, 2018 kwenye Uwanja wa Samora,Iringa. Mchezo huo wa raundi ya 20 ligi kuu soka Tanzania Bara sasa umesogezwa mpaka Jumapili…

ARSENAL USO KWA USO NA AC MILAN EUROPA LIGI HATUA YA 16

Hatua ya 16 bora katika EUEFA Europa League imeshapangwa baada ya timu 16 kufuzu kutokana na mechi zilizochezwa wiki hii. Katika ratiba, mechi inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka duniani, ni AC Milan ambayo itakuwa mwenyeji katika mchezo wa…

MCHEZA TENISI, MUGURUZA ATINGA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA DUBAI

Mchezaji Tenisi Garbine Muguruza amefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Dubai baada ya kumshinda Caroline Garcia katika mchezo wa wa pili war obo fainali na kutinga Nusu fainali ya Dubai. Muguruza alifuzu hatua robo fainali baada ya…

ARSENAL YACHEZEA KICHAPO NYUMBANI

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kikosi chake kilijivuta sana na kunusurika dhidi ya klabu ya Sweden Ostersunds FK, hivyobasi kufuzu katika raundi ya timu 16 bora katika kombe la ligi ya Yuropa. Arsenal ilishinda awamu ya kwanza 3-0,…

DE GEA AWANUSURU MANCHESTER UNITED KUPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA SEVILLA

Mlindalango wa Manchester United David de Gea alifanya kazi ya ziada kuzuia makombora ya wapinzani wao Sevilla Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mechi ya hatua ya 16 bora na kuwasaidia kutoka sare Jumatano. Kipa huyo Mhispania aliwazuia Joaquin Correa na…