Category: Michezo
Daktari wa timu ya Olimpiki Marekani Atupwa Jela
Aliyekuwa daktari wa timu ya Olimpiki Larry Nasser amehukumiwa kwenda jela miaka 175 baada ya kukutwa na makosa ya ukatili wa kingono dhidi wananawake na wana michezo. Katika kesi hiyo mashahidi 160 wamewasilisha ushahidi wao huku Nasser mwenyewe alikiri makosa…
CAF YATOA ONYO MICHEZONI
NA MICHAEL SARUNGI Tatizo la rushwa kupenya katika mpira wa miguu limelitikisa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kiasi cha kuamua kufuta posho za waamuzi kulipwa na vyama na mashirikisho Afrika. Sasa posho zao zitalipwa moja kwa moja kutoka CAF kwa waamuzi…
Nyosso Bado Yupo Mikononi Mwa Polisi Kagera
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Agustine Ollomi, amesema hali ya majeruhi anaye fahamika kwa jina la Shabani Hussein, aliyedaiwa kupigwa hadi kuzirai na beki wa Klabu ya Kagera Sugar, Juma Nyoso, bado ni mbaya na yupo mikononi mwa madaktari…
LIGI YA WANAWAKE KUANZA FEBRUARI 24
Ligi ya Wanawake ya Serengeti Premier Lite hatua ya nane bora inatarajia kuanza kutimua vumbi Februari 24, 2018 kwenye viwanja vine. Mchezo kati ya Kigoma FC na Simba Queens utakaochezwa kwenye uwanja wa Lake Tanganyika ndio utakuwa mchezo rasmi wa…
CAF Kuzikagua Simba, Yanga Miundombinu Yao
Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF litafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa vilabu vya ligi kuu hapa nchini(Club Licencing) kwenye upande wa miundo mbinu. CAF watafanya ukaguzi huo wa kutembelea na kutazama miundo mbinu ili kuhakikisha mfumo…
POWER ON FITNESS GYM KUUKARIBISHA MWAKA MPYA KWA STYLE YA KIPEKEE
Power on Fitness Gym iliyopo Mwenge, kinondoni, Jijini Dar es salaam imeandaa siku maalumu kwa ajili ya kujumuika pamoja, kufanya mazoezi na kuukaribisha mwaka mpya wa 2018. Shughuli hiyo itafanyika siku ya jumamosi January 27,2018 katika viwanja vya posta vilivyopo…