JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Waamuzi soka wajengewe uwezo

Soka la Tanzania linakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwamo tatizo la waamuzi ambalo limekuwa likilalamikiwa na wadau na wanachama wa klabu zinazoshiriki Ligi kuu ya Tanzania Bara. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti mara baada ya kuhitimu mafunzo ya muda mfupi…

Ajali yateketeza kikosi

Wiki iliyopita familia ya soka duniani imepata pigo, baada ajali ya ndege  iliyosababisha vifo vya watu 81, wakiwamo wachezaji wa klabu ya Chopecoense ya nchini Brazil na kuacha simanzi kubwa Ndege iliyokuwa imebeba timu ya soka ya Brazil ilianguka wakati…

Benteke aweka rekodi

Mshambuliaji wa Crystal Palace, Christian Benteke, ameweka historia mpya kwa kufunga bao sekunde ya 7, baada mchezo kuanza wakati Ubelgiji ikicheza dhidi ya Gibraltar, katika kuwania kushiriki fainali za Kombe la Dunia, Urusi 2018. Wakati Benkete aliweka rekodi hiyo baada…

Kusini mwa Afrika, watamba tuzo za Afrika

Miaka mingi iliyopita wapenzi wa soka walizoea kuona kila aina ya tuzo katika mchezo wa soka ikichukuliwa na wachezaji kutoka ukanda wa nchi za Afrika Magharibi, hali ambayo imeanza kubadilika katika siku za hivi karibuni. Hali hiyo imejidhihirisha katika kinyang’anyiro cha…

Wadau waombwa kusaidia mchezo wa kuogelea

Wadau na wapenzi wa mchezo wa kuogelea nchini, wameombwa kutoa michango yao ya hali na mali kuhakikisha mchezo huo unapiga hatau kwa manufaa ya Taifa pamoja na changamoto zilizopo ikiwamo uhaba wa vitendea kazi. Akizungumza na JAMHURI wakati wa kufunga…

Magufuli ajiita Sizonje

Umewahi kukaa na kutafakari mashairi ya wimbo wa Mrisho Mpoto uitwao Sizonje? Umewahi kuhisi anayeimbwa katika mashairi ya wimbo huo ni nani?  JAMHURI imegundua kwamba Sizonje ni Rais John Magufuli, huku akikiri kwa kinywa chake, mbele ya wahariri pamoja na…