JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Je siasa inamaliza soka la Tanzania?

Wiki iliyopita, Serikali ilisitisha kufanyika kwa mashindano ya vijana ya Umoja wa Michezo ya Shule za Msingi (Umitashumta) na ule wa shule za sekondari (Umisseta). Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene, alitoa kauli hiyo kusitisha rasmi baada ya…

Pumzika kwa amani Keshi, Afrika yote itakukumbuka

W iki iliyopita, familia ya mpira wa miguu katika Bara la Afrika ilipata msiba mzito kwa kumpoteza nguli wa soka wa Nigeria, Stephen Keshi, ambaye ana historia ndefu nchini humo. Keshi alikuwa mchezaji katika miaka ya 1990 pamoja na Kocha…

Muhammad Ali; Bondia aliyetikisa dunia

Muhammad Ali (74), bingwa wa zamani wa dunia wa ngumi za uzani wa juu na mmoja kati ya wanamasumbwi bora zaidi duniani, aliyefariki katika Hospitali ya Phoenix Area, Arizona, nchini Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita. Bondia huyo aliyetamba katika miaka…

Mafanikio ya Yanga na Tanzania kuongezwa uwakilishi CAF

Tanzania kwa sasa inabebwa na Yanga katika anga za michuano ya kimataifa, kutokana na uwezo ambao wamezidi kuuonesha kwenye eneo hilo na ligi la hapa nyumbani. Hilo halina ubishi. Hiyo imekuja baada ya Yanga kufuzu kwa hatua ya makundi ya…

Misri imebeba hatma ya Stars AFCON

Jumatano ya wiki iliyopita, Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, alitaja kikosi cha wachezaji 26 kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi dhidi ya Kenya pamoja na ile ya kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika…

Uozo kwa Aveva unamtakatisha Rage Simba

Hakuna asiyefahamu kuwa kwa sasa ndani ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam hali si shwari, kutokana na aina ya matokeo inayoyapata timu hiyo kwa msimu minne sasa. Simba imeshindwa kabisa kupata matokeo mazuri kutoka kwa Rais wa sasa…